Rais Jakaya Kikwete, akiagana na Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Ikulu jijini Dar es Salaam
jana baada ya mazungumzo na viongozi vyama vya upinzani. Nyuma kushoto
ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi (CUF), Professa Ibrahim Lipumba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni