Jumamosi, 1 Juni 2013

Leo pia nipo pamoja na wanachama wa LASO tupo Lolya Wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida tumekuja kumtangaza kristo kwa kuuleta UPendo wa Yesu kwa watoto yatima na watu wanaoishi katika maisha magumu tutarudi kesho chuoni kwetu Dodoma. Tunaomba tuombeane ili kazi yake isiharibike tumefika salama kwa neema ya Mungu na turudi huko kwa Neema hiyohiyo.Mungu akubariki. Comment or Like kama wataka huduma hii isife chuoni Dodoma na vyuo vingine vyenye huduma kama hii.