NIKIWA NA BAADHI YA WATOTO WASIO ONA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU. SHULE YA MSINGI BWIGILI DODOMA. NA CHINI ZAIDI NI BAADHI YA WATOTO TULIOWATEMBELEA HOMBOLO ILIKUWA SIKU YA KUWAPA FARAJA WENYE UKOMA,WAZEE,WASIOJIWEZA, NA WATOTO YATIMA ILIKUWA NI ZIARA ZA LASO (LOVE AGE SOCIETY) UNIVERSITY OF DODOMA.
PICHA INAYOFUATA NI MMOJA WAALIMU BWIGILI (ALIYEVAA MIWANI) AKITUMIA COMPUTER YENYE PROGRAM MAALUM YA SAUTI IMWEZESHAYO KUTUMIA. ILIKUWA AJABU KWANGU KWASABABU ILKUWA MARA YA KWANZA KUONA MTU ASIYEONA AKITUMIA COMPUTER. NIKAAMINI HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MTU YEYOTE KUINGIA KATIKA MFUMO WOWOTE WA MAWASILIANO PIA KUENDA SAMBAMBA NA MABADILIKO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. WITO WANGU KWA SERIKALI NI KWAMBA IWAPE NAFASI KUBWA NDUGU ZETU ILI WAWEZE PIA KUJIAJIRI NA PIA KUELIMIKA JUU YA TEKNOLOJIA HII ILI SOTE TUENDE SAMBAMBA NA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni