SUALA LA MABADILIKO KAIKA JAMII LINAANZA NA MTU MMOJA KWANZA HATUWEZI
KUSEMA HILI TATIZO NI LA JAMII NA JAMII ILITATUE, KABLA MTU MMOJA
HAJAONA KERO YA TATIZO HILO. INAPASA KILA MTU AKERWE NA TATIZO NDIPO
WATU WAUNGANISHE NGUVU ZAO KWA PAMOJA KULIKABIRI TATIZO HUSIKA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni